
10 hours ago
Gospel4You International -'Right with God' in Swahili translated by Pr. Macbee Musa from Yesu Akwagala in Kampala, Uganda
Pr. Macbee Musa from Yesu Akwagala in Kampala, Uganda
Injili kwa Ajili Yako Kimataifa
"Uko sawa mbele za Mungu?"
Je, mtu yeyote anaweza kuwa sawa na Mungu kwa mastahili yake? Maandiko yafuatayo yanajibu swali hilo
waziwazi.
Yohana 6:29:
Yesu akajibu, akawaambia, "Hii ndiyo kazi ya Mungu, mumwamini yeye aliyetumwa na Mungu."
Yohana 14:6:
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na ukweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Warumi 3:22-24
Haki ya Mungu kwa njia ya imani katika Yesu Kristo ipo kwa wote waaminio; maana hakuna tofauti; kwa sababu
wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; wakahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa
njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu;
Warumi 3:25–26 Ambaye Mungu alimuweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake, ili aonyeshe haki
yake, kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zote zilizotangulia kufanyika; apate kuonyesha
haki yake wakati huu, ili awe mwenye haki na mwenye kumhesabia haki yule amwaminiye Yesu.
Warumi 3:29–31 Au je! Mungu ni Mungu wa Wayahudi tu? Siye Mungu wa Mataifa pia? Naam, ni Mungu wa
Mataifa pia; ikiwa Mungu ni mmoja, atakayewahesabia haki wale waliotahiriwa kwa imani, na wale wasiotahiriwa
kwa imani iyo hiyo. Basi, je! Twaibatilisha sheria kwa imani hiyo? Hasha! Kinyume cha hayo twaithibitisha sheria.
Warumi 5:1–2 Basi, tukiisha kuhesabiwa haki kwa imani, na tuwe na amani kwa Mungu kwa njia ya Bwana wetu
Yesu Kristo; ambaye kwa yeye tumepata kwa njia ya imani kuifikilia neema hii tuliyomo; na tujisifie kwa tumaini
la utukufu wa Mungu
Gospel4You International -‘Right With God?’
Can anyone be right with God on their own merits? The following scriptures answer that question clearly.
John 6:29 (New International Version)
Jesus answered, “The work of God is this: to believe in the one he has sent.”
John 14:6 - Jesus answered, “I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through me.
Romans 3:22-24 NLT “We are made right with God by placing our faith in Jesus Christ. And this is true for everyone who believes, no matter who we are. For everyone has sinned; we all fall short of God’s glorious standard. Yet God, in his grace, freely makes us right in his sight. He did this through Christ Jesus when he freed us from the penalty for our sins.”
Romans 3:25-26 NLT “For God presented Jesus as the sacrifice for sin. People are made right with God when they believe that Jesus sacrificed his life, shedding his blood. This sacrifice shows that God was being fair when he held back and did not punish those who sinned in times past, for he was looking ahead and including them in what he would do in this present time. God did this to demonstrate his righteousness, for he himself is fair and just, and he makes sinners right in his sight when they believe in Jesus.”
Romans 3:29-31 “After all, is God the God of the Jews only? Isn’t he also the God of the Gentiles? Of course he is. There is only one God, and he makes people right with himself only by faith, whether they are Jews or Gentiles. Well then, if we emphasize faith, does this mean that we can forget about the law? Of course not! In fact, only when we have faith do we truly fulfill the law.”
Romans 5:1-2 “Therefore, since we have been made right in God’s sight by faith, we have peace with God because of what Jesus Christ our Lord has done for us. Because of our faith, Christ has brought us into this place of undeserved privilege where we now stand, and we confidently and joyfully look forward to sharing God’s glory.”
No comments yet. Be the first to say something!