
8 hours ago
Gospel4You International - 'The Point Of Easter' in Swahili translated by Pr. Macbee Musa from Yesu Akwagala in Kampala, Uganda
Pr. Macbee Musa from Yesu Akwagala in Kampala, Uganda
Msingi wa Pasaka
Karibu sana kwenye toleo hili la Gospel4You International. Katika toleo hili, kupitia mfululizo wa maswali na maandiko ya Biblia, tunalenga kukusisimua kufikiri kwa undani:
Ni nini maana ya Pasaka?
Ni nini hasa tunacholenga tunapofanya haya kama kituo cha redio? Tunatangaza...
Yohana 3:16, kama ilivyoandikwa katika Biblia, yasema: “Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu sana hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.”
Lakini swali ni hili: Inawezekanaje Mungu awe Mtakatifu na Mwenye Haki, huku akitupenda sisi kila mmoja kwa upendo wa ajabu namna hiyo?
Kutoka 15:13“Kwa upendo wako usioisha, utawaongoza watu uliowakomboa; kwa nguvu zako utawaelekeza mpaka makao yako matakatifu.”
2 Wakorintho 13:14 “Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote.”
Zawadi hii ya neema kupitia Yesu Kristo ni ya kila mtu.
Yeye ambaye amwamini hatapotea, bali ataishi milele.
Kama wale wanaomkubali wana uzima wa milele, basi nini hutokea kwa wale wasiomkubali, na lini?
Luka 12:46 “Bwana wa mtumishi huyo atakuja siku ambayo hatarajii, na saa ambayo hatakujua. Atamkata vipande vipande na kumpa sehemu pamoja na wasiokubali Mungu.”
Nini hutokea mahali hapo pamoja na wasiokubali Mungu? Mathayo 25:41 “Kisha atasema kwa wale walioko kushoto kwake, ‘Nendeni mbali nami, ninyi mliokasirika, mlale moto wa milele uliotengwa kwa shetani na malaika wake.’”
Je, hii inaweza kuwa kweli?
Yohana 14:17 “Roho wa ukweli; dunia haiwezi kumkubali kwa sababu haiwoni wala haiwezi kumfahamu. Lakini ninyi mnamfahamu, kwa maana anakaa nanyi na atakuwa ndani yenu.”
Msingi wa Pasaka ni kutoa tumaini la uzima wa milele ambao umetokana na Yesu Kristo Mwana wa Mungu na kuepuka matokeo mbaya.
Tunaamini kile ambacho Biblia inatufundisha. Tunaamini kwamba Yesu Kristo Mwana wa Mungu ni Bwana na Mwokozi. Tunaamini Yesu aliwaambia waumini wake wende na wafanye wanafunzi katika mataifa yote. Ndiyo maana tunafanya tunachofanya.
The point of Easter.
Welcome to this edition of Gospel4You International. In this edition through a series of questions and scriptures, we aim to get you thinking. What is The point of Easter? What is The point of What we are doing as a radio station? We proclaim
John 3 verse 16 found in the Bible says - For God so loved the world that he gave his one and only Son, that whoever believes in him shall not perish but have eternal life.
How can God be both Holy and Just while Loving each of us?
Even in Exodus Chapter 15: verse 13- In your unfailing love you will lead the people you have redeemed. In your strength you will guide them to your holy dwelling.
În 2 Corinthians Chapter 13 verse 14 May the grace of the Lord Jesus Christ, and the love of God, and the fellowship of the Holy Spirit be with you all.
This gift of Grace through Jesus Christ is for each person.
whoever believes in him shall not perish but have eternal life.
If those who accept have eternal life, What happens to those who do not accept and when?
Luke chapter 12 verse 46 - The master of that servant will come on a day when he does not expect him and at an hour he is not aware of. He will cut him to pieces and assign him a place with the unbelievers.
What happens in this place with the unbelievers?
Matthew 25 verse 41 - “Then he will say to those on his left, ‘Depart from me, you who are cursed, into the eternal fire prepared for the devil and his angels
Can this be true?
John 14 verse 17 - the Spirit of truth. The world cannot accept him, because it neither sees him nor knows him. But you know him, for he lives with you and will be in you.
The point of Easter is to give hope in eternal life made possible through Jesus Christ Son of God and to avoid the alternative.
We believe in what The Bible tells us. We believe that Jesus Christ Son of God is Lord and Saviour. We believe that Jesus told believers to go and make disciples of all nations. That’s why we do what we do.
No comments yet. Be the first to say something!